
ALITOLEWA KAFARA NA BABA YAKE MZAZI ILIAPATE UTAJIRI, ALIFUKIWA NDANI YA KICHUGUU NA KUBADIRISHWA NGOZI YAKE KAMA GAMBA LA NYOKA.
Askofu Daniel Ouma(Dao) mwenye suti nyeusi na chupa ya mafuta ya Upako(Anointing oil) mkononi wa kanisa la bonde la baraka lililopo Musoma akimfanyia maombezi kijana Japhet mwenye tisheti ya buluu ambae ameweka mikono yake usoni.
Kijana Japhet alikuwa akiishi jijini Dar eslaam na wazazi wake wote,...