Saturday, September 27, 2014

Maombi ya kinabii kwako toka kwa Pasta Daniel Ouma.

Kanisa limetengeneza Stika na Vipeperushi kwa ajili ya marafiki wa huduma ya mtumishi. Kwa kweli, Stika hizi zina Upako wa Ajabu na wa kipekee!! Usiikose kuibandika katika gari, begi,  pikipiki, milango nk...
Mungu wa Mbinguni, endelea kumpa mtu huyu mafanikio/Baraka, na mahitaji binafsi, ya ki-afya, ki-elimu, ki-uchumi na utele wa amani. Kwa mchango wake naomba umpe rafiki yangu kukutumikia huku ukimuinua ki-nabii sawa na upendeleo wako kwa jina la Yesu, Amina. Stika na Vipeperushi hivi vinapatikana katika kanisa la Bonde la Baraka. 
Tafadhali wasiliana  nasi kwa barua pepe revdao@gmail.com au piga simu +255 755 808 039

0 comments: