Kanisa
limetengeneza Stika na Vipeperushi kwa ajili ya marafiki wa huduma ya
mtumishi. Kwa kweli, Stika hizi zina Upako wa Ajabu na wa kipekee!!
Usiikose kuibandika katika gari, begi, pikipiki, milango nk...
Mungu
wa Mbinguni, endelea kumpa mtu huyu mafanikio/Baraka, na mahitaji
binafsi, ya ki-afya, ki-elimu, ki-uchumi na utele wa amani. Kwa mchango
wake naomba umpe rafiki yangu kukutumikia huku ukimuinua ki-nabii sawa
na upendeleo wako kwa jina la Yesu, Amina. Stika na Vipeperushi hivi
vinapatikana katika kanisa la Bonde la Baraka.
Tafadhali...