Sunday, September 28, 2014

Tunaomba kwa ajili ya Amani ya Yerusalemu.

"Kama Wakristo, tunaamini katika sala, sisi tunaomba kwa ajili ya mataifa yetu na kwa miji yetu Lakini kuna mji moja ambayo Biblia inataja kwamba tunapaswa kusali kwa ajili ya  Yerusalemu, Wengi wetu tunaomba kwa ajili ya 'Amani' ya mji huu. Sasa ni wakati wa kuanza kuomba kwa mji huu ndio Yesu alifanyia ibada, ndipo alisulubiwa, alipo fufuka kwake kutoka wafu na Yeye atakuja tena! Yeye ni mmoja ambaye ataleta "Amani", Ni kuomba kwa...

Saturday, September 27, 2014

Special Prayers and Prophecy for you from Pastor Daniel Ouma

The Church formed Stickers and leaflets for the friends of Pastor’s ministry. Heavenly God, continue to give my brother/sister blessings and prosperity, personal needs, for his/her health, education, financial and the abundance of peace.Through his/her contribution, give my friend constant ability to serve you as you elevate him prophetically according to your preferences the Mighty name of Jesus, Amen! Stickers and brochures are available...

Maombi ya kinabii kwako toka kwa Pasta Daniel Ouma.

Kanisa limetengeneza Stika na Vipeperushi kwa ajili ya marafiki wa huduma ya mtumishi. Kwa kweli, Stika hizi zina Upako wa Ajabu na wa kipekee!! Usiikose kuibandika katika gari, begi,  pikipiki, milango nk... Mungu wa Mbinguni, endelea kumpa mtu huyu mafanikio/Baraka, na mahitaji binafsi, ya ki-afya, ki-elimu, ki-uchumi na utele wa amani. Kwa mchango wake naomba umpe rafiki yangu kukutumikia huku ukimuinua ki-nabii sawa na upendeleo wako kwa jina la Yesu, Amina. Stika na Vipeperushi hivi vinapatikana katika kanisa la Bonde la Baraka.  Tafadhali...

Thursday, September 25, 2014

Day of Prayer for the Peace of Jerusalem

On the first Sunday of every October, hundreds of millions of people around the world join together to pray for the peace of Jerusalem. In just a few years, this event has quickly become the largest Israel-focused prayer event in history. But why set aside this day each year to pray for Jerusalem...

Sunday, September 21, 2014

Siku ya Jumapili ya Upako na Mchungaji Moses Mwaijele

Leo ni Jumapili ya upako wa ajabu katika kanisa la bonde la baraka na Mchungaji Musa Mwaijele, mchungaji Musa alitembelea kanisa la Bonde la Baraka. Ni jumapili ambayo imekuwa ya kipekee katika kanisa la Bonde la Baraka. Amina ...