Sunday, December 7, 2014

Mtumishi Juma Bonde la Baraka

Ni Mtumishi wa Mungu Juma Akiwaombea Wahumini Ndani ya Kanisa la Bonde la Baraka Mungu Ampatie Uzima Tele Amen. ...

Ni Jumapili ya Upako

Ni Jumapili iliyo Njaa Neema ya Ajabu Na Mtumishi Juma Wahumini wakibubujika Machozi. Ndani ya Kanisa la Bonde la Baraka Jumapili Ya Upako ...

Asubuhi ya Utukufu Bonde la Baraka

Ni Ibada ya Utukufu ya Asubuhi katika kanisa la bonde la Baraka watu wakiwa katika Maombi. ...

Friday, December 5, 2014

Jim and Debra Walker

Ni Conference iliyofanyika katika kanisa la bonde la baraka Na watumishi wa mungu Jim and Debra walker wa Australia Watuwengi wameponwa na Kufunguliwa mungu Apewe sifa Amen" Jim and Debra walker wa Austalia wakiwa katika kanisa la Bonde la Baraka ...

Ni Conference ya Kimataifa iliyo fanyika katika kanisa la bonde la Baraka

...

International Conference in The valley of blessings

International Conference in The valley of blessings by Jim and Debra walker - Australia   International Conference in The valley of blessings and T.B Samel Ben ...

Conference Katika kanisa la bonde la baraka

...