Day of Prayer for the Peace of Jerusalem

Sunday, September 28, 2014

Tunaomba kwa ajili ya Amani ya Yerusalemu.

"Kama Wakristo, tunaamini katika sala, sisi tunaomba kwa ajili ya mataifa yetu na kwa miji yetu Lakini kuna mji moja ambayo Biblia inataja kwamba tunapaswa kusali kwa ajili ya  Yerusalemu, Wengi wetu tunaomba kwa ajili ya 'Amani' ya mji huu. Sasa ni wakati wa kuanza kuomba kwa mji huu ndio Yesu alifanyia ibada, ndipo alisulubiwa, alipo fufuka kwake kutoka wafu na Yeye atakuja tena! Yeye ni mmoja ambaye ataleta "Amani", Ni kuomba kwa ajili yake , kwa sababu yeye ni  "Mkuu wa Amani!"




The world to remember that the first Sunday of every October we need to pray for the Peace of Jerusalem, As Christians, we believe in prayer, and we pray for our nations and for our cities. But there is one city for which the Bible specifically mentions that we should pray: Jerusalem. How many of us actually pray for the 'Peace' of this city? Now is the time to start praying for this city where Jesus ministered, where He was crucified, where He rose from the dead and where He will come back! He is the one who will bring the "Peace" we are praying for, because only He is the "Prince of Peace

Saturday, September 27, 2014

Special Prayers and Prophecy for you from Pastor Daniel Ouma

The Church formed Stickers and leaflets for the friends of Pastor’s ministry. Heavenly God, continue to give my brother/sister blessings and prosperity, personal needs, for his/her health, education, financial and the abundance of peace.Through his/her contribution, give my friend constant ability to serve you as you elevate him prophetically according to your preferences the Mighty name of Jesus, Amen!

Stickers and brochures are available at the church in the valley of blessing.
Please contact us by email revdao@gmail.com or +255 755 808 039

Maombi ya kinabii kwako toka kwa Pasta Daniel Ouma.

Kanisa limetengeneza Stika na Vipeperushi kwa ajili ya marafiki wa huduma ya mtumishi. Kwa kweli, Stika hizi zina Upako wa Ajabu na wa kipekee!! Usiikose kuibandika katika gari, begi,  pikipiki, milango nk...
Mungu wa Mbinguni, endelea kumpa mtu huyu mafanikio/Baraka, na mahitaji binafsi, ya ki-afya, ki-elimu, ki-uchumi na utele wa amani. Kwa mchango wake naomba umpe rafiki yangu kukutumikia huku ukimuinua ki-nabii sawa na upendeleo wako kwa jina la Yesu, Amina. Stika na Vipeperushi hivi vinapatikana katika kanisa la Bonde la Baraka. 
Tafadhali wasiliana  nasi kwa barua pepe revdao@gmail.com au piga simu +255 755 808 039

Thursday, September 25, 2014

Day of Prayer for the Peace of Jerusalem


On the first Sunday of every October, hundreds of millions of people around the world join together to pray for the peace of Jerusalem. In just a few years, this event has quickly become the largest Israel-focused prayer event in history. But why set aside this day each year to pray for Jerusalem?

Sunday, September 21, 2014

Siku ya Jumapili ya Upako na Mchungaji Moses Mwaijele

Leo ni Jumapili ya upako wa ajabu katika kanisa la bonde la baraka na Mchungaji Musa Mwaijele, mchungaji Musa alitembelea kanisa la Bonde la Baraka. Ni jumapili ambayo imekuwa ya kipekee katika kanisa la Bonde la Baraka. Amina