Day of Prayer for the Peace of Jerusalem

Sunday, October 5, 2014

BELIEVERS OF THE VALLEY OF BLESSINGS OF ALL NATIONS.

Washirika wa Bonde la Baraka wakiwa katika maandamano ya mfungo wa DPPJ  mtaa wa nyerere road wakielekea katika kanisa la Bonde la Baraka Mungu awalinde katika Safari hii ndefu

DEMONSTRATION OF DPPJ IN MUSOMA, MARA, TANZANIA.



Ni Maandamano ya DPPJ ya Waumini wa kanisa la Bonde la Baraka wakiwa wameshikilia Mabango yanayo ashiri Amani na Utulivu wa kipekee katika Nchi yetu ya Tanzania na Mji mkuu wa Jerusalem, Waumini wa kanisa la Bonde la Baraka Musoma Tanzania wakiwa katika kiwanja cha Mkendo Wakielekea kanisani. Ni neema ya Mungu kutufikisha Hapa tulipo sasa.

MAANDAMANO YA DPPJ KATIKA KANISA LA BONDE LA BARAKA.

Ni maandamano ya DPPJ katika kanisa la Bonde la Baraka

Friday, October 3, 2014

5 Days of People being healed in the Church of the Valley of Blessings.


Ni Mkutano wa kipekee wa Injili ya Bwana Yesu Kristo, Ndani ya siku 5 Katika kanisa la Bonde la Baraka lililopo mkoa wa Mara (Tanzania), Atakuwapo Mchungaji Daniel Ouma (Dao) wa Musoma (Mara) na Mchungaji Joseph Mapunda wa Daersalam Wakiubili neo la Mungu na kuponya watu wenye Magonjwa hupona, Mapepo kukimbia. Nyote Mnakaribishwa katika kanisa la Bonde la Baraka.

Mkutano Mkuu wa Injili ya Yesu Kristo katika Kanisa la Bonde la Baraka na Mchungaji Joseph Mapunda

Siku 5 za Miujiza Katika kanisa la Bonde la Baraka.

Ni siku ya kipekee ya Mkutano wa Injili Unaofanyika ndani ya siku Tano (5) katika kanisa la Bonde la Baraka na Mchungaji Daniel Ouma(Dao), Kanisa la Bonde la Baraka tuna furaha ya kutembelewa na Mchungaji Joseph Mapunda wa Daersalam Kwa pamoja wakifanya huduma ya Mungu na Kuwafungua watu wenye matatizo mbali mbali, Mapepo kukimbia, Wagonjwa Kupona na Wengine Kupokea Baraka.

Thursday, October 2, 2014

Pray for the Peace of Jerusalem.

This is the only means that will ultimately change hearts in this troubled part of the world, We are followers of The Word of GOD and understand the covenant God has with His chosen people, Jerusalem, and we are now partakers of the same Blessing. We pray for the Peace of Jerusalem.

Pray for the Peace of Jerusalem.



The world to remember that the first Sunday of every October we need to pray for the Peace of Jerusalem, As Christians, we believe in prayer, and we pray for our nations and for our cities. But there is one city for which the Bible specifically mentions that we should pray: Jerusalem. How many of us actually pray for the 'Peace' of this city? Now is the time to start praying for this city where Jesus ministered, where He was crucified, where He rose from the dead and where He will come back! He is the one who will bring the "Peace" we are praying for, because only He is the "Prince of Peace