Day of Prayer for the Peace of Jerusalem

Sunday, December 7, 2014

Mtumishi Juma Bonde la Baraka

Ni Mtumishi wa Mungu Juma Akiwaombea Wahumini Ndani ya Kanisa la Bonde la Baraka Mungu Ampatie Uzima Tele Amen.



Ni Jumapili ya Upako

Ni Jumapili iliyo Njaa Neema ya Ajabu Na Mtumishi Juma Wahumini wakibubujika Machozi.
Ndani ya Kanisa la Bonde la Baraka Jumapili Ya Upako


Asubuhi ya Utukufu Bonde la Baraka

Ni Ibada ya Utukufu ya Asubuhi katika kanisa la bonde la Baraka watu wakiwa katika Maombi.

Friday, December 5, 2014

Jim and Debra Walker

Ni Conference iliyofanyika katika kanisa la bonde la baraka Na watumishi wa mungu Jim and Debra walker wa Australia Watuwengi wameponwa na Kufunguliwa mungu Apewe sifa Amen"


Jim and Debra walker wa Austalia wakiwa katika kanisa la Bonde la Baraka




Ni Conference ya Kimataifa iliyo fanyika katika kanisa la bonde la Baraka







International Conference in The valley of blessings


International Conference in The valley of blessings by Jim and Debra walker - Australia 

 International Conference in The valley of blessings and T.B Samel Ben


Conference Katika kanisa la bonde la baraka


Sunday, November 23, 2014

Bonde la Baraka Ni Jumapili ya Upako

Ni Jumapili ya Upako na Mwijilisti Morice ndani ya kanisa la Bonde la Baraka


Jumapili ya Upako sana Bonde la Baraka

Ni Jumapili ya Upako sana katika kanisa la Bonde la Baraka kwa Mataifa yote



Vijana wakiomba katika kanisa la Bonde la Baraka Kwa Mataifa yote







Mujiza ndani ya Kanisa la Bonde la Baraka

Mama huyu Mtoto wake alikuwa hana uwezo wa kutembea  baada ya maombezi ya Mtumishi wa Mungu Daniel Dao Mtoto huyu ameweza kupiga hatua za kutembea tizama picha Hizi.


Sunday, November 16, 2014

Watanifananisha Kumbe si Mwingine.

Yesu amenipaka TOPE kupitia Nabii Daniel Dao na wakati nanawa uso wangu TOPE lililo kuwa linadondoka ndivyo laana,mikosi,balaa,magonjwa, kukataliwa na ulevi sugu ulivyo dondoka kuzimu. Sasa naona na ninachunga kondoo wa bwana. YOHANA 9:7.



Friday, November 14, 2014

KONGAMANO LA KIMATAIFA MKOA WA MARA

Ni Kongamano la Kimataifa Kwa Wachungaji wote wa mkoa wa Mara litakalo fanyika katika kanisa la Bonde la Baraka tarehe 26 hadi 29 Novemba 2014, Kongamano hilo litaendeshwa na JIM AND DEBRA WALKER kutoka  Australia. Ndugu tukae kwa Umoja Zab 133:1

Saturday, November 8, 2014

Welcome to the Valley of Blessings for All Nations


If you are looking for a church where you can come as you are, find people who accept you as you are, and where you can grow to become everything that you want to be, then Vbfans Church may be the place for you. We are a diverse church with a common goal: worshiping our God and making known His fame.
We hope that as you find out more about us that you will discover a place where you can find friends and family.


Blessings!
Pastor Daniel & Debra Ouma

Friday, November 7, 2014

"Siku ya Kufunguliwa katika kanisa la Bonde la Baraka"

Maombezi ya Imani katika kanisa la Bonde la Baraka wenye Magonjwa Hupona na Mapepo hukimbia. Jina la Bwana Yesu liinuliwe "Amen"




Thursday, November 6, 2014

"Ni Siku ya Upako wa Mungu Ndani ya kanisa la Bonde la Baraka"

Kushoto Upande wa Chini ni Mwanamke aliye kuwa hawezi hata kula chakula wala kunywa maji, Baada ya maombezi ya Imani katika kanisa la Bonde la Baraka amepona Kabisa na anaweza Kula na Kunywa Jina la Bwana liinuliwe "Amen".

































Maombezi ya Imani katika kanisa la bonde la Baraka  watu wakibubujika machozi.
 "Siku ya Maombezi ndani ya kanisa la Bonde la Baraka".

"Jumatano ya Upako katika kanisa la The valley of blessings".

Ni Jumanato hilio jaa neema ya Ajabu Ambayo watu wengi wamefunguliwa katika kanisa hili Mungu Awabariki Na Awape Uzima na Nguvu za kumtumikia "Amen"

Sunday, October 5, 2014

BELIEVERS OF THE VALLEY OF BLESSINGS OF ALL NATIONS.

Washirika wa Bonde la Baraka wakiwa katika maandamano ya mfungo wa DPPJ  mtaa wa nyerere road wakielekea katika kanisa la Bonde la Baraka Mungu awalinde katika Safari hii ndefu

DEMONSTRATION OF DPPJ IN MUSOMA, MARA, TANZANIA.



Ni Maandamano ya DPPJ ya Waumini wa kanisa la Bonde la Baraka wakiwa wameshikilia Mabango yanayo ashiri Amani na Utulivu wa kipekee katika Nchi yetu ya Tanzania na Mji mkuu wa Jerusalem, Waumini wa kanisa la Bonde la Baraka Musoma Tanzania wakiwa katika kiwanja cha Mkendo Wakielekea kanisani. Ni neema ya Mungu kutufikisha Hapa tulipo sasa.

MAANDAMANO YA DPPJ KATIKA KANISA LA BONDE LA BARAKA.

Ni maandamano ya DPPJ katika kanisa la Bonde la Baraka

Friday, October 3, 2014

5 Days of People being healed in the Church of the Valley of Blessings.


Ni Mkutano wa kipekee wa Injili ya Bwana Yesu Kristo, Ndani ya siku 5 Katika kanisa la Bonde la Baraka lililopo mkoa wa Mara (Tanzania), Atakuwapo Mchungaji Daniel Ouma (Dao) wa Musoma (Mara) na Mchungaji Joseph Mapunda wa Daersalam Wakiubili neo la Mungu na kuponya watu wenye Magonjwa hupona, Mapepo kukimbia. Nyote Mnakaribishwa katika kanisa la Bonde la Baraka.

Mkutano Mkuu wa Injili ya Yesu Kristo katika Kanisa la Bonde la Baraka na Mchungaji Joseph Mapunda

Siku 5 za Miujiza Katika kanisa la Bonde la Baraka.

Ni siku ya kipekee ya Mkutano wa Injili Unaofanyika ndani ya siku Tano (5) katika kanisa la Bonde la Baraka na Mchungaji Daniel Ouma(Dao), Kanisa la Bonde la Baraka tuna furaha ya kutembelewa na Mchungaji Joseph Mapunda wa Daersalam Kwa pamoja wakifanya huduma ya Mungu na Kuwafungua watu wenye matatizo mbali mbali, Mapepo kukimbia, Wagonjwa Kupona na Wengine Kupokea Baraka.

Thursday, October 2, 2014

Pray for the Peace of Jerusalem.

This is the only means that will ultimately change hearts in this troubled part of the world, We are followers of The Word of GOD and understand the covenant God has with His chosen people, Jerusalem, and we are now partakers of the same Blessing. We pray for the Peace of Jerusalem.

Pray for the Peace of Jerusalem.



The world to remember that the first Sunday of every October we need to pray for the Peace of Jerusalem, As Christians, we believe in prayer, and we pray for our nations and for our cities. But there is one city for which the Bible specifically mentions that we should pray: Jerusalem. How many of us actually pray for the 'Peace' of this city? Now is the time to start praying for this city where Jesus ministered, where He was crucified, where He rose from the dead and where He will come back! He is the one who will bring the "Peace" we are praying for, because only He is the "Prince of Peace

Sunday, September 28, 2014

Tunaomba kwa ajili ya Amani ya Yerusalemu.

"Kama Wakristo, tunaamini katika sala, sisi tunaomba kwa ajili ya mataifa yetu na kwa miji yetu Lakini kuna mji moja ambayo Biblia inataja kwamba tunapaswa kusali kwa ajili ya  Yerusalemu, Wengi wetu tunaomba kwa ajili ya 'Amani' ya mji huu. Sasa ni wakati wa kuanza kuomba kwa mji huu ndio Yesu alifanyia ibada, ndipo alisulubiwa, alipo fufuka kwake kutoka wafu na Yeye atakuja tena! Yeye ni mmoja ambaye ataleta "Amani", Ni kuomba kwa ajili yake , kwa sababu yeye ni  "Mkuu wa Amani!"




The world to remember that the first Sunday of every October we need to pray for the Peace of Jerusalem, As Christians, we believe in prayer, and we pray for our nations and for our cities. But there is one city for which the Bible specifically mentions that we should pray: Jerusalem. How many of us actually pray for the 'Peace' of this city? Now is the time to start praying for this city where Jesus ministered, where He was crucified, where He rose from the dead and where He will come back! He is the one who will bring the "Peace" we are praying for, because only He is the "Prince of Peace

Saturday, September 27, 2014

Special Prayers and Prophecy for you from Pastor Daniel Ouma

The Church formed Stickers and leaflets for the friends of Pastor’s ministry. Heavenly God, continue to give my brother/sister blessings and prosperity, personal needs, for his/her health, education, financial and the abundance of peace.Through his/her contribution, give my friend constant ability to serve you as you elevate him prophetically according to your preferences the Mighty name of Jesus, Amen!

Stickers and brochures are available at the church in the valley of blessing.
Please contact us by email revdao@gmail.com or +255 755 808 039

Maombi ya kinabii kwako toka kwa Pasta Daniel Ouma.

Kanisa limetengeneza Stika na Vipeperushi kwa ajili ya marafiki wa huduma ya mtumishi. Kwa kweli, Stika hizi zina Upako wa Ajabu na wa kipekee!! Usiikose kuibandika katika gari, begi,  pikipiki, milango nk...
Mungu wa Mbinguni, endelea kumpa mtu huyu mafanikio/Baraka, na mahitaji binafsi, ya ki-afya, ki-elimu, ki-uchumi na utele wa amani. Kwa mchango wake naomba umpe rafiki yangu kukutumikia huku ukimuinua ki-nabii sawa na upendeleo wako kwa jina la Yesu, Amina. Stika na Vipeperushi hivi vinapatikana katika kanisa la Bonde la Baraka. 
Tafadhali wasiliana  nasi kwa barua pepe revdao@gmail.com au piga simu +255 755 808 039

Thursday, September 25, 2014

Day of Prayer for the Peace of Jerusalem


On the first Sunday of every October, hundreds of millions of people around the world join together to pray for the peace of Jerusalem. In just a few years, this event has quickly become the largest Israel-focused prayer event in history. But why set aside this day each year to pray for Jerusalem?