Friday, October 3, 2014

Siku 5 za Miujiza Katika kanisa la Bonde la Baraka.

Ni siku ya kipekee ya Mkutano wa Injili Unaofanyika ndani ya siku Tano (5) katika kanisa la Bonde la Baraka na Mchungaji Daniel Ouma(Dao), Kanisa la Bonde la Baraka tuna furaha ya kutembelewa na Mchungaji Joseph Mapunda wa Daersalam Kwa pamoja wakifanya huduma ya Mungu na Kuwafungua watu wenye matatizo mbali mbali, Mapepo kukimbia, Wagonjwa Kupona na Wengine Kupokea Baraka.

1 comments:

Unknown said...

God bless you in the work of your hands